Content removal request!


KIPYENGA CHA MWISHO 23/05/2019: Singida vs Simba, Biashara vs Ruvu, Yanga vs Mbeya - Matukio tata

Miongoni mwa mechi zilizozua gumzo wiki hii ni ile iliyopigwa mjini Singida na Simba kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifunga Singida United mabao 2-0 pamoja na ile ya Biashara United vs Ruvu Shooting iliyopigwa Musoma na Biashara kushinda mabao 2-1. Katika mechi hizi palikuwa na matukio yaliyozua utata na hapa Osman Kazi anayatolea ufafanuzi. Mechi nyingine ni Simba vs Ndanda na Yanga vs Mbeya City zilizopigwa Uwanja wa Uhuru na