Content removal request!


BARAKA MPENJA AKOSHWA NA MOLOKO/"KOCHA NABI NI HATARI/WANANCHI WAMEFURAHI”

Hii ni kutoka Ulipo Uwanja wa Azam Complex,Chamazai ambako inachezwa Mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga Sc ambao ni Wenyeji wa Mechi hiyo wakiikaribisha Geita Gold. Na hivi ndivyo Hali ilivyo Nje ya Uwanja huo,Kupitia Mpenja Tv tunahakikisha tunakuletea Mfululizo wa Matukio ya Kabla na Baada ya Mechi hiyo