Content removal request!


Jamhuri SC 0-5 Yanga SC | Highlights | Mapinduzi Cup 2024 - 31/12/2023

Tazama matukio yote muhimu katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2024, kati ya Jamhuri dhidi ya Yanga SC. Yanga imeshinda magoli 5-0. Magoli yamefungwa na Crispin Ngushi, Kibwana Shomari, Clement Mzize na Mahlatse Makudubela Manoka 'Skudu'