Content removal request!


Highlights | JKT Tanzania 2-0 Ihefu SC | VPL 16/06/2021

Timu ya JKT Tanzania imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Magoli ya JKT yamefungwa na Jabir Aziz Stima pamoja na Edson Katanga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz