Goli la Haruna Moshi ‘Boban’: Alliance vs African Lyon (TPL 27/08/2018)
Mkongwe, Haruna Moshi 'Boban' anaitanguliza African Lyon dhidi ya Alliance kwenye dimba la CCM Kirumba, kazi nzuri ikifanywa na Victor Da Costa.
Ni mchezo wa raundi ya pili ya Ligi Kuu Tanzania Bara.