Content removal request!


Azam TV - Mtibwa Sugar walia na mwamuzi. FT: Azam FC 1-1 Mtibwa Sugar

Mara baada ya mchezo kumalizika kwa sare ya bao 1-1, wachezaji wa timu zote mbili wamezungumzia mchezo huo, huku Mtibwa wakionekana kutokubaliana na uamuzi wa mwamuzi wa mchezo huo