Tazama nginjanginja za fainali ya Azam Sports Federation Cup iliyopigwa Mkwakwani Tanga na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 0-1. Goli likifungwa na Kennedy Musonda.