Content removal request!


Mnyama Simba alivyokufa kwa kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa JKT Tanzania; Tazama highlights

Simba SC wakiwa nyumbani wamejikuta wakipoteza alama tatu muhimu baada ya kufungwa 0-1 dhidi ya JKT Tanzania ambao walikuwa wakiajiandaa tayari kwa kuhamia Dodoma ambako wataweka makazi yaoi hadi mwisho wa msimu huu 2019/20. Goli pekee la Adam Adam dakika ya 25 lilitosha kuizamisha Simba SC katika mchezo huo licha ya kuwa matokeo hayo hayajabadili msimamo wa ligi kwa upande wao wakisalia kileleni na alama 50. Tazama Vodacom Premier League LIVE na EXCLUSIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ►http://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz