UGANDA 1-1 ZIMBABWE: Okwi, Kamusoko wazungumza baada ya mechi - AFCON 2019
AFCON 2019: Baada ya mchezo wa raundi ya pili Kundi A kati ya Uganda na Zimbabwe kumalizika kwa sare ya bao 1-1, Azam TV imezungumza na baadhi ya wachezaji akiwemo Emmanuel Okwi na Thaban Kamusoko ambao wanacheza Ligi ya Tanzania.