Content removal request!


Never Tigere apiga mawili Azam FC 'ikiipapasa' Ruvu Shooting 2-1; (Highlights)

Azam FC imepata ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting, mchezo uliopigwa leo Machi 10, 2020 kwenye Uwanja wa Uhuru. magoli yote ya Azam yamefungwa na Mzimbabwe Never Tigere huku bao la Ruvu likifungwa na Sadat Mohamed. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz