Baada ya Kulazimishwa Suluhu Tasa na Polisi Tanzania Mabingwa Watetezi Wa Ligi Kuu ya NBC Simba SC wamerejea Dar es Salaam wakitokea Kilimanjaro Usiku Huu Fungua Video Hi Kushuhudia Nyota Wa Simba SC walivyotua Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam wakitokea Mkoani Kilimanjaro #MpenjaTV #SimbaSC #AhmedAlly