Yanga 0-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 05/02/2022
Yanga na Mbeya City zimetoshana nguvu kwa kutoka sare ya bila kufungana katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Tazama baadhi ya matukio kutoka kwenye mchezo huo