Content removal request!


Zanzibar Heroes 0-0 Kilimanjaro Stars | Highlights | Mechi ya Kirafiki - 27/12/2023

Tazama matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Zanzibar Heroes dhidi ya Kilimanjaro Stars katika Sherehe za Uzinduzi wa New Amaan Complex Mechi imemalizika kwa suluhu ya bila kufungana.