Content removal request!


Magoli yote | Simba 4-0 African Sports | Azam Sports Federation Cup 02/03/2023

Ni mechi ya raundi ya nne (16 bora), Simba wakiwatandika 4-0 African Sports kutoka Ligi Daraja la Kwanza (#Championship) , kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Wafungaji kwenye mchezo huu ni Jean Baleke dakika ya 36, Kennedy Juma dakika ya 47, Mohamed Mussa dakika ya 69 na Jimmyson Mmwanuke dakika ya 90. Haya hapa magoli yote manne.