Goli pekee la Yusuph Mhilu limeipa Kagera Sugar pointi tatu muhimu, ikipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons, katika mchezo wa ligi kuu ...