Content removal request!


ALLY KAMWE: "YANGA NDIO TIMU PEKEE ILIYOMTOA JASHO ZAKAZAKAZI/CLEMENT MFUNGAJI BORA MICHUANO HII...

Tarehe 03/03/2023 kunapigwa Mchezo wa Kombe la Azam Sports Federation unaowakutanisha Yanga dhidi ya Tanzania Prison kwenye Dimba la Chamazi. Mchezo huu ni wa hatua ya 16 na hatua inayofuata ni Robo fainali, Prison wana kibarua cha kumsimamisha Mwananchi vile vile Mwananchi ana kibarua cha kummsimamisha Mjelajela. Mpenja Tv tunakuletea Habari na Matukio yote kabla na baada ya Mchezo huu.