Content removal request!


Highlights | Yanga SC 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League - 13/05/2023

Tazama namna Yanga SC walivyotangaza Ubingwa wa NBC Premier League 2022/2023 mbele ya Dodoma Jiji baada ya kupata ushindi wa goli 4-2 dhidi ya Walima dhabibu hao. Magoli ya Yanga yamefungwa na Kennedy Musonda, Mudathir Yahya na Farid Mussa wakati yale ya Dodoma Jiji yakifungwa na Collins Opare na Seif Rashid Karihe. FT: Yanga 4-2 Dodoma Jiji, Yanga Bingwa!!