Content removal request!


Magoli | KMKM SC 1-2 Yanga SC: Friendly Match 12/11/2021

Magoli mawili kutoka kwa Jesus Moloko na Fiston Mayele yameipa Yanga ushindi wa 2-1 dhidi ya KMKM katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo Novemba 12 kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar. KMKM ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Optatus Lupekenya. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz