Content removal request!


Highlights | Kagera Sugar 1-2 Azam FC | VPL 03/03/2021

KAGERA SUGAR VS AZAM FC; Azam FC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba. Magoli ya azam yamefungwa na Braison Rafael pamoja na prince Dube huku goli pekee la Kagera likiupatikana kwa penati kupitia kwa Peter Mwalyanzi Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz