Content removal request!


Highlights | Azam FC 1- 1 Mbeya Kwanza - Friendly 14/11/2020

Azam FC wamelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Mbeya Kwanza wametangulia kupitia kwa William Edgar huku Azam wakichomoa kwa penati kupitia kwa Never Tigere. Tazama Highlights. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz