Tazama matukio yote muhimu kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Tabora United dhidi ya Yanga SC. Yanga imeshinda goli 1-0, goli likifungwa na Stephane Aziz Ki