Content removal request!


Simba 4-1 Yanga | Magoli yote, nusu fainali ASFC

Simba imeichapa Yanga magoli 4-1 katika mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) uliochezwa leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Gerson Fraga, Clatous Chama, Luis Miquissone na Mzamiru Yassin, huku Feisal 'FeiToto" Abdallah akiwapatia Yanga goli la kufutia jasho. Haya hapa magoli yote - 12/07/2020. #wataniwajadi #simbayanga #simbachama #chamasimba Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz