Content removal request!


Morrison apiga mkuki mwingine Kagera Yanga ikiifumua Kagera Sugar 1-0: Tazama Highlights

Bernard Morrison akirejea kikosini baada ya kuwa katika mgogoro na timu yake, ameifungia yanga goli pekee lililowapa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Tazama assist ya David Molinga. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz