Content removal request!


Mangungu amuangusha Nkamia Uenyekiti Simba; Tazama mambo yalivyokuwa wakati matokeo yakitangazwa

Klabu ya Simba leo imefanya uchaguzi wake wa kujaza nafasi ya mwenyekiti, ambapo Muhtaza Mangungu ameibuka mshindi dhidi ya mpinzani wake pekee, Juma Nkamia. Mara baada ya matokeo kutangazwa wagombea wote wawili wametoa neno, na hivi ndivyo hali ilivyokuwa. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz