Wapinzani wa Yanga SC kwenye Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Tp Mazembe Leo hii wamewasili Dar es salaam tayari kwa Mechi ya Jumapili hii Uwanja wa Benjamin Mkapa.