Content removal request!


#NBCPL Kesho Jumanne zinapigwa mechi zote nane za raundi ya 29 #NBCPremierLeague n azote utazipata mbashara #AzamTV Kwenye Dimba la Azam Complex, Simba watakuwa na kazi dhidi ya Polisi Tanzania ambao wanachungulia kaburi. Kuelekea mchezo huo, Kocha Msaidizi wa Simba, Juma…