GEORGE MPOLE ATOA SIRI YA GOLI LA MAPEMA/MSUVA NAYE ATOA SOMO KWA WAPINZANI WAKE. by @Mpenja TV - Post Details

GEORGE MPOLE ATOA SIRI YA GOLI LA MAPEMA/MSUVA NAYE ATOA SOMO KWA WAPINZANI WAKE.

Leo Juni 5 Mpenja Tv tunakuletea Mahojiano Lukuki na kocha pamoja na Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars baada ya mchezo wa kimataifa wa Niger dhidi ya Tanzania Kumalizika. . Mpenja Tv imekipokea kikosi cha Taifa Stars mapema Leo hii kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 2. . Fungua Video hii kupata Uhondo wote wa Habari hii. . #taifastars #kibudenis #georgempole

Similar Posts!