VIDEO: BAO LA CHAMA LAWACHANGANYA NKANA KUMBE HIVI NDIVYO ALIVYOFANYA by @SWACOTV Online - Post Details

VIDEO: BAO LA CHAMA LAWACHANGANYA NKANA KUMBE HIVI NDIVYO ALIVYOFANYA

Nyota mzambia anayecheza klabu ya simba Cloutos Chota Chama Amedhihirisha jana kuwa yeye ni fundi wa mpira baada ya kufunga bao la aina yake katika mchezo wa klabu bingwa Africa kati ya Simba na Nkana Fc Ya Zambia. Nimekuwekea Magoli Yote kwenye Video

Similar Posts!

SIMBA WAVURUGANA NA NKANA TAREHE YA MCHEZO
SIMBA WAVURUGANA NA NKANA TAREHE YA MCHEZO

Mashabiki wa soka nchini hawana uhakika na Tarehe ya mechi ya klabu bingwa Africa kati ya simba na Nkana Fc ya Zambia kutokana na taarifa kutoka timu hizo mbili kukinzana. kupitia video hii msemaji wa Simba Haji Manara Anasema Mechi hiyo itachezwa jumapili ya December 23, wakati Nkana Fc wao mapema usiku wa kuamkia leo walipowasiri hapa Nchini Waliandika Kupitia Ukurasa wao wa Instagram kuwa wanatarajia kucheza na Simba Jumamosi ya December 22-2018.