Simba yampiga Azam Goli 3 Kwa 1 Katika uwanja wa taifa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara Kagere Awashangaza mashabiki SUBSCRIBE KAMA Sports 24 TV KWA MATUKIO MBALIMBALI YA MICHEZO
BEKI wa Simba, Erasto Nyoni, mwenye control kubwa Ligi Kuu @erastonyoni4336 leo aliombwa viatu na mchezaji wa Biashara Mara na kama ilivyo desturi ya Fair Play, Master Nyoni bila hiyana alimkabidhi mchezaji huyo viatu hvyo kama ukumbusho kwake!! MCHEZO wa leo uliochezwa uwanja wa Taifa kati ya Simba na Biashara United umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. #LigikuuTanzaniaBara# Biashara United walianza kupachika bao dakika ya 14 kupitia kwa Innocent Edwin na Simba walisawazisha kupitia kwa Clatous Chama dk ya 17.
Kocha Mkuu Wa Azam Akizungumza Baada Ya Kumalizika Kwa Mchezo Dhidi Ya Simba Mchezo Umeisha Suluhu Ya Bila Kufungana
Simba Wakishuka Uwanja Wa Uhuru Kukipiga Dhidi Ya Kagera Sugar Ambapo Mchezo Wa Kwanza Simba Ilifungwa 2 kwa 1
Msemaji Wa Simba SC Akizungumza Na Waandishi Wa Habari Hasa Kuhusiana Na Mechi Ya Kagera Sugar
Mchezo Wa Ligi Kuu Bara Simba dhidi ya JKT ambapo Simba imeshinda kwa jumla ya bao moja kwa sufuri Goli likifungwa Na Hassani Dilunga USISAHAU KU SUBSCRIBE KWA MATUKIO YA MICHEZO TUNAJULIKANA KAMA SPORTS 24 TV
Kocha Simba Akizungumza Baada Ya Kuifunga Azam Fc Katika Mchezo wa ligi kuu Tanzania