BEKI wa Simba, Erasto Nyoni, mwenye control kubwa Ligi Kuu @erastonyoni4336 leo aliombwa viatu na mchezaji wa Biashara Mara na kama ilivyo desturi ya Fair Play, Master Nyoni bila hiyana alimkabidhi mchezaji huyo viatu hvyo kama ukumbusho kwake!! MCHEZO wa leo uliochezwa uwanja wa Taifa kati ya Simba na Biashara United umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. #LigikuuTanzaniaBara# Biashara United walianza kupachika bao dakika ya 14 kupitia kwa Innocent Edwin na Simba walisawazisha kupitia kwa Clatous Chama dk ya 17.