Hili Hapa Goli Tamu La Hassan Dilunga Simba 1-0 JKT Tanzania by @Sports24 Tanzania - Post Details

Hili Hapa Goli Tamu La Hassan Dilunga Simba 1-0 JKT Tanzania

Mchezo Wa Ligi Kuu Bara Simba dhidi ya JKT ambapo Simba imeshinda kwa jumla ya bao moja kwa sufuri Goli likifungwa Na Hassani Dilunga USISAHAU KU SUBSCRIBE KWA MATUKIO YA MICHEZO TUNAJULIKANA KAMA SPORTS 24 TV

Similar Posts!

Mchezaji Wa Biashara United Alivyoomba Viatu Kwa Erasto Nyoni
Mchezaji Wa Biashara United Alivyoomba Viatu Kwa Erasto Nyoni

BEKI wa Simba, Erasto Nyoni, mwenye control kubwa Ligi Kuu @erastonyoni4336 leo aliombwa viatu na mchezaji wa Biashara Mara na kama ilivyo desturi ya Fair Play, Master Nyoni bila hiyana alimkabidhi mchezaji huyo viatu hvyo kama ukumbusho kwake!! MCHEZO wa leo uliochezwa uwanja wa Taifa kati ya Simba na Biashara United umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. #LigikuuTanzaniaBara# Biashara United walianza kupachika bao dakika ya 14 kupitia kwa Innocent Edwin na Simba walisawazisha kupitia kwa Clatous Chama dk ya 17.



Kocha Azam FC:Simba Wametukosakosa Sana Tumejifunza Mengi
Kocha Azam FC:Simba Wametukosakosa Sana Tumejifunza Mengi

Kocha Mkuu Wa Azam Akizungumza Baada Ya Kumalizika Kwa Mchezo Dhidi Ya Simba Mchezo Umeisha Suluhu Ya Bila Kufungana



Simba Walivyoshuka Kuiua Kagera Sugar
Simba Walivyoshuka Kuiua Kagera Sugar

Simba Wakishuka Uwanja Wa Uhuru Kukipiga Dhidi Ya Kagera Sugar Ambapo Mchezo Wa Kwanza Simba Ilifungwa 2 kwa 1



Manara:Mashabiki Wamenidhalilisha Na Simba Kwa Ujumla
Manara:Mashabiki Wamenidhalilisha Na Simba Kwa Ujumla

Msemaji Wa Simba SC Akizungumza Na Waandishi Wa Habari Hasa Kuhusiana Na Mechi Ya Kagera Sugar



Kocha Simba Nilijua Tutawafunga Azam
Kocha Simba Nilijua Tutawafunga Azam

Kocha Simba Akizungumza Baada Ya Kuifunga Azam Fc Katika Mchezo wa ligi kuu Tanzania



Simba Walivyoingia Taifa Kuimaliza Azam FC
Simba Walivyoingia Taifa Kuimaliza Azam FC

Simba yampiga Azam Goli 3 Kwa 1 Katika uwanja wa taifa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara Kagere Awashangaza mashabiki SUBSCRIBE KAMA Sports 24 TV KWA MATUKIO MBALIMBALI YA MICHEZO