73: Azam FC 1-0 Malindi SC ⚽️Agrey #MapinduziCup2021 @azamfc @tplboard @wallacekaria #AzamHD
Mechi iliyochezwa katika uwanja wa jamhuri mjini Dodoma Simba wanachukua point tatu muhimu kutoka Kwa wenyeji wao Dodoma Kwa Ushindi wa Goli 1-2. Chini ya Kocha wao mpya katika ligi kuu Tanzania bara.
Mechi ya kirafiki Kati ya Taifa stars DHIDI ya DR Congo siku ya Jana ilitoka draw Kwa kufungana 1-1. Mechi iliyochezwa katika uwanja WA Mkapa
Mechi ya kirafiki #tanzania #drc
#Simba Sc Vs #Namungo_ 2-0 Mapinduzi cup, Ona Simba wakiwacharaza Namungo mapemaa
Simba sasa wanaendeleza ubabe wake Kwa kuichapa fc platinum goli NNE Kwa sifuri. sasa Simba Sc wanakuwa vinara WA group diamond platnumz,simba,john pombe magufuli,simba sc vs platnumfc
Simba Sc Vs ihefu Leo kipind cha kwanza kinaisha Kwa Goli Tatu Kwa sifuri DHIDI ya ihefu Ligi kuu nchini Tanzania #VPL #Simba #Ihefu #AzamSport2HD LIVE #AzamSports1HD #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #VodacomPremierLeague #SimbaSC #KMCFC #KinoBoys #SSC #SimbaKMC #youtubeShorts