#Mnyama Simba leo March 13, 2022, anatupa karata ya nne ya hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morroco, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mpenja TV, tuko Dimba la Mkapa kukupata habari zote za kabla na baada ya mechi kwa Weledi wa hali ya juu kabisa. Tafadhali endelea kabaki na sisiβ¦. #SimbaSCvsRSBerkane #Simba #RSBerkane #KombeLaShirikishoAfrica #BenjaminMkapaStadium #CAF #MpenjaTV
Leo Mei 13,2024 Mtibwa Sugar inashuka Dimba la Manungu Turiani kumenyana na Yanga SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC,,Saa 10 jioni.
Leo May 08,2024 katika uwanja wa Azam complex kutachezwa mchezo mmoja wa NBC PREMIER LEAGUE ambao utazikutanisha Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe, amezungumza na Mpenja TV na kuelezea Mipango ya Timu yake kuelekea katika Mchezo wa CRDB Federation Cup Dhidi ya Dhidi ya Tabora United Mchezo ambao utachezwa May 1,2024 katika uwanja wa Azam Complex Pia Ally Kamwe amegusia kuhusu tetesi za Mchezaji wao Pacome Zouzoua na kuweka wazi kinachoendelea mpaka sasa.