CRESCENTIUS MAGORI HIZI PESA ZINASABABISHA TIMU ZINATUKAMIA -Sio sawa kwa viongozi wa Serikali kuingilia mchezo wa soka na kutoa ahadi kwa timu zingine na kupelekea Simba SC 🦁 inakamiwa na Wachezaji wetu kuumizwa, -Timu hazina viwango ila zinakamia sana, ila kwa nini iwe kwa Simba tu Kukamiwa, Ahadi zinazotolewa kuongeza motisha zinaharibu mpira hazina maana yoyote,, -kama huna uwezo huna tu,Kwa nini ahadi zitolewe wanapokutana na Simba tu ?! Sijui Wakuu wamekoa Wabunge Zinavuruga mpira Crescentius Magori mshauri wa bodi ya wakurugenzi Simba SC #simbasc #kikosichasimba #yangasc #usajilisimbasc #usajiliyangasc #usajili #dirishakubwalausajili #azamtv #fifa #cas #modewji #hajimanara #yusuphmanji #usajli #kikosichasimbaleo #simbaleo #ligikuutanzania #simba #usajiliyangasc #yanga #ligikuu #tanzania #simba #yangaleo #usajilisimbaleo #ligikuu #chama #miquissone #kisinda #mukoko #caf #tff #SIMBASC #YANGASC #SIMBA #LIGIKUUTANZANIA #ligiyamabingwaafrica #Africa #tanzania
SIMBA Watoa Tamko Zito Muda Huu Kuhusu KUVUNJA MKATABA wa MCHEZAJI Huyu WAKIMATAIFA, Sababu Zatajwa
Alichokisema BEKI Kitasa WILSON NANGU Athibitisha KUSAJILIWA SIMBA Dirisha Kubwa la Usajili 2025
Alichokisema FEISAL SALUM "FEI TOTO" Athibitisha KUSAJILIWA Timu Hii Kubwa, Aitaja SIMBA, YANGA JE?
Alichokisema FEISAL SALUM "FEI TOTO" Athibitisha KUSAJILIWA Timu Hii Kubwa, Aitaja SIMBA, YANGA JE?
Alichokisema ELLIE MPANZU Atoa Tamko Zito Kuhusu Kuondoka SIMBA SC Dirisha Kubwa la Usajili
Kikosi cha Yanga Kinachoanza Leo Dhidi ya Singida Black Star Mechi ya Fainali Kombe la CRDB 2024/25