Content removal request!


Kimenuka baada ya Wachezaji wa Simba kuchezewa Rafu mbaya sababu ya Pesa za wabunge Tamko zito latok

CRESCENTIUS MAGORI HIZI PESA ZINASABABISHA TIMU ZINATUKAMIA -Sio sawa kwa viongozi wa Serikali kuingilia mchezo wa soka na kutoa ahadi kwa timu zingine na kupelekea Simba SC ๐Ÿฆ inakamiwa na Wachezaji wetu kuumizwa, -Timu hazina viwango ila zinakamia sana, ila kwa nini iwe kwa Simba tu Kukamiwa, Ahadi zinazotolewa kuongeza motisha zinaharibu mpira hazina maana yoyote,, -kama huna uwezo huna tu,Kwa nini ahadi zitolewe wanapokutana na Simba tu ?! Sijui Wakuu wamekoa Wabunge Zinavuruga mpira Crescentius Magori mshauri wa bodi ya wakurugenzi Simba SC #simbasc #kikosichasimba #yangasc #usajilisimbasc #usajiliyangasc #usajili #dirishakubwalausajili #azamtv #fifa #cas #modewji #hajimanara #yusuphmanji #usajli #kikosichasimbaleo #simbaleo #ligikuutanzania #simba #usajiliyangasc #yanga #ligikuu #tanzania #simba #yangaleo #usajilisimbaleo #ligikuu #chama #miquissone #kisinda #mukoko #caf #tff #SIMBASC #YANGASC #SIMBA #LIGIKUUTANZANIA #ligiyamabingwaafrica #Africa #tanzania