AZAM FC vs POLISI TZ: Hawa hapa makocha wasaidizi wa Azam FC (@agreymorisambros) na John Tamba wa Polis.. for Azam - Polisi Tanzania game - Post Details

AZAM FC vs POLISI TZ: Hawa hapa makocha wasaidizi wa Azam FC (@agreymorisambros) na John Tamba wa Polisi Tanzania pamoja na manahodha wa vilabu hivyo wakizungumza kuelekea mechi yao ya kesho ya NBC Premier League ambayo ni ya kufunga msimu wa 2022/23 #NBCPremierLeague…

Similar Posts!

Magoli | Yanga 1-1 Polisi Tanzania | U20 Premier League 26/06/2023
Magoli | Yanga 1-1 Polisi Tanzania | U20 Premier League 26/06/2023

Yanga U20 na Polisi Tanzania U20 wametoshana nguvu kwa sare ya bao 1-1 , mchezo wa mwisho wa kundi katika Ligi Kuu ya ...

Azam 8-0 Polisi Tanzania | Highlights |  NBC Premier League - 09/06/2023
Azam 8-0 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League - 09/06/2023

Tazama highlights za mechi kati ya Azam FC dhidi ya Polisi Tanzania ambapo vijana wa Chamazi wameleka kilio cha mabao 8-0 ...

TZ Prisons 0-2 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 09/06/2023
TZ Prisons 0-2 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 09/06/2023

Fiston Mayele amefunga la kwanza dakika ya 33 na Yannick Bangala akitokea benchi akafunga la pili dakika ya 90, Yanga ...

Magoli yote | Azam 8-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 09/06/2023
Magoli yote | Azam 8-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 09/06/2023

Prince Dube amefunga magoli manne dakika ya 8, 15, 28 na 56; Idd Nado akifunga mawili dakika ya 40 na 75, Kipre Jr. goli lake ...

Magoli | TZ Prisons 0-2 Yanga | NBC Premier League 09/06/2023
Magoli | TZ Prisons 0-2 Yanga | NBC Premier League 09/06/2023

Fiston Mayele amefunga la kwanza dakika ya 33 na Yannick Bangala akitokea benchi akafunga la pili dakika ya 90, Yanga ...

LIVE - SHEREHE ZA UBINGWA, YANGA WAKIKABIDHIWA KOMBE LAO - NBC PREMIER LEAGUE 09/06/2023
LIVE - SHEREHE ZA UBINGWA, YANGA WAKIKABIDHIWA KOMBE LAO - NBC PREMIER LEAGUE 09/06/2023

Shughuli inafanyika kwenye Dimba la Sokoine jijini Mbeya baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons uliomalizika kwa ushindi ...