#NBCPL: POLISI TANZANIA VS MTIBWA SUGAR Leo kwenye NBC Premier League ni vita ya kujiokoa kushuka dara.. for Polisi Tanzania - Mtibwa Sugar game - Post Details

#NBCPL: POLISI TANZANIA VS MTIBWA SUGAR Leo kwenye NBC Premier League ni vita ya kujiokoa kushuka daraja, si Polisi Tanzania wala Mtibwa Sugar ambaye yuko kwenye nafasi ya uhakika wa kusalia ligi kuu. Hebu wasikie makocha na manahodha wa timu zote mbili wakizungumzia mchezo huo…

Similar Posts!