Azam FC imepoteza Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC kwa kichapo cha Goli 2 kwa 1 kwenye Dimba la Azam ...
AZAM FC Vs NAMUNGO: Huu hapa mtazamo wa makocha na manahodha wa Azam FC na Namungo FC kuelekea mechi yao ya leo ya NBC Premier League hapo saa 2:15 usiku. Mechi itakuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNiSoka #SokaLetuBambam