CAFCL: Kikosi cha Simba SC kimeshawasili katika dimba la Mohammed wa Tano (V) tayari kukipiga dhidi ya Raja Casablanca kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL)
Mechi itapigwa saa 7:00 usiku kwa saa za hapa Tanzania na itakuwa LIVE #ZBC2 kwa nchini pekee.
#CAFCL
KIKOSI SIMBA Vs RAJA CASABLANCA 🔥🔥🔥
Raja Casablanca vs Simba SC saa 7 usiku
Lakers vs Timberwolves saa 9 usiku