Mbwaduke Stats's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

MBWADUKE: Ohooo! Simba yaporomoka viwango vya ubora CAF/Kushushwa tena Pyramids wakibeba ndoo CAFCL
MBWADUKE: Ohooo! Simba yaporomoka viwango vya ubora CAF/Kushushwa tena Pyramids wakibeba ndoo CAFCL

Usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-comment na ku-like... UFAFANUZI Kuna mahala Mzee wa Data ameteleza kwa kusema kuwa Pyramids wakitwaa ubingwa CAFCL wataongeza pointi 6 katika 42 walizo nazo sasa na kufikisha pointi 48. Usahihi ni kwamba wataongeza pointi 5 tu na kufikisha pointi 47 na siyo 48. Hivyo, Pyramids hawawezi kuiporomosha Simba kutoka nafasi ya 5 waliyopo sasa hata kama watatwaa ubingwa wa CAFCL kwa sababu Simba tayari wana pointi 48 il-hali (wao) Pyramids watatimiza pointi 47 tu endapo watatwaa ubingwa katika fainali yao dhidi ya Mamelodi. By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports