Usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-comment na ku-like... UFAFANUZI Kuna mahala Mzee wa Data ameteleza kwa kusema kuwa Pyramids wakitwaa ubingwa CAFCL wataongeza pointi 6 katika 42 walizo nazo sasa na kufikisha pointi 48. Usahihi ni kwamba wataongeza pointi 5 tu na kufikisha pointi 47 na siyo 48. Hivyo, Pyramids hawawezi kuiporomosha Simba kutoka nafasi ya 5 waliyopo sasa hata kama watatwaa ubingwa wa CAFCL kwa sababu Simba tayari wana pointi 48 il-hali (wao) Pyramids watatimiza pointi 47 tu endapo watatwaa ubingwa katika fainali yao dhidi ya Mamelodi. By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
#football #soccer #sports #yanga #yangasc #simba #realmadrid #arsenal#yangasc #yanga #liverpool #barcelona
#simba #simbasc #simbatanzania #football #soccer #sports #realmadrid #liverpool #chelsea #arsenal#barcelona #yanga #yangasc #simba #simbasc #tff#azamtv

UFAFANUZI Kuna mahala Mzee wa Data ameteleza kwa kutamka Mogadishu City inashiriki Ligi Kuu ya Mali akimaanisha Somalia. Kumradhi! By Mhariri - Mbwaduke Stats 'Spoti Next Level' #simba #simbasc #simbatanzania #football #soccer #sports #realmadrid #liverpool #chelsea #arsenal#barcelona #yanga #yangasc #simba #simbasc #tff#azamtv
#football #soccer #sports #realmadrid #liverpool #chelsea #arsenal#barcelona #yanga #yangasc #simba #simbasc #tff#azamtv
#simba #simbasc #simbatanzania #football #soccer #sports #realmadrid #liverpool #chelsea #arsenal#barcelona #yanga #yangasc #simba #simbasc #tff#azamtv