Millard Ayo's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Mchezaji wa Kimataifa wa Afrika Kusini Skudu Makudubela anayeichezea Yanga, leo alfajiri ameonekana akiondoka nchini kuelekea kwao Afrika Kusini. Kuondoka kwake wengi kukawa kuna leta maswali ila Yanga wameweka wazi kuwa ameondoka kwa ruhusa maalum ya Kocha Gamondi kwa ajili ya kwenda kubadili hati ya kusafiria (Passport).