SABABU ZA SKUDU KUONDOKA YANGA LEO ALFAJIRI by @Millard Ayo - Post Details

SABABU ZA SKUDU KUONDOKA YANGA LEO ALFAJIRI

Mchezaji wa Kimataifa wa Afrika Kusini Skudu Makudubela anayeichezea Yanga, leo alfajiri ameonekana akiondoka nchini kuelekea kwao Afrika Kusini. Kuondoka kwake wengi kukawa kuna leta maswali ila Yanga wameweka wazi kuwa ameondoka kwa ruhusa maalum ya Kocha Gamondi kwa ajili ya kwenda kubadili hati ya kusafiria (Passport).

Similar Posts!