Dream Online Tv (VENICE MEDIA)'s user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

BAADA YA KUMALIZA BIASHARA MAPEMA HUKO MARA, SIMBA YAJIPA UBINGWA JUMLA
BAADA YA KUMALIZA BIASHARA MAPEMA HUKO MARA, SIMBA YAJIPA UBINGWA JUMLA

#uongozi #simba #biashara Simba imefanikiwa kutwaa pointi tatu mbele ya Biashara United kwa ushindi wa mabao 2-0 mchezo uliochezwa uwanja wa Karume. "Tuna muunganiko mzuri na kikosi kinazidi kuimarika hivyo nafasi ni kubwa kwetu kutwaa ubingwa msimu huu, sapoti ya mashabiki ni muhimu," amesema. Huu unakuwa ni mchezo wa nne kwa Simba kushinda na ukiwa ni wa pili kwa mlinda mlango, Aishi Manula kutoka na clean Sheet baada ya kwanza kuipata mbele ya Kagera Sugar. Msimu uliopita uwanja wa Karume, Simba ilishinda mabao 2-0 mbele ya Biashara United na yalifungwa na John Bocco huku leo wafungaji wakiwa ni Meddie Kagere na Miraj Athuman.

MUUAJI WA MTIBWA SUGAR WA SIMBA AFICHUA ALICHOAMBIWA NA MBELGIJI KABLA YA KUINGIA
MUUAJI WA MTIBWA SUGAR WA SIMBA AFICHUA ALICHOAMBIWA NA MBELGIJI KABLA YA KUINGIA

MUUAJI WA MTIBWA SUGAR WA SIMBA AFICHUA ALICHOAMBIWA NA MBELGIJI KABLA YA KUINGIA

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports