Dream Online Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
@LuisMiquissone pulled off some stunning performances with @SimbaSCTanzania last season! #TotalEnergiesCAFCL
HII NDIO KAULI YA ADEN RAGE|BAADA YA MANARA KUHAMIA YANGA|"YEYE SIO LOLOTE" Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC, Ismail Aden Rage amesema @HajiManara hakuwa kiongozi ndani ya timu hiyo na badala yake alikuwa ni mwajiriwa na mpiga porojo hivyo hajachukia kuondoka kwake kwa sababu kwa kazi yake anaruhusiwa kwenda timu yeyote huku akimuonya kutoikashifu Simba.
Matokeo makubwa kwenye mechi kubwa ya mashindano makubwa kwa timu kubwa! Simba wameshinda mechi kwa ukatili na ...