Mringo Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Yanga wamepata sare ya bao 1-1 na Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Sokoine jijini Mbeya. Tazama sherehe na shamrashamra za Yanga SC kukabidhiwa ubingwa NBC Premier League msimu wa 2021/2022 dimbani Sokoine Mbeya baada ya kumalizika kwa game yao dhidi ya Mbeya City..