STORY ZOTE's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Tazama kikosi kamili cha Taifa Stars, Tanzania vs Sudani katika michuano ya Kutafuta nafasi ya kushiriki michuano ya CHAN 2020 #TanzaniaVsSudan #TaifaStars #Tanzania
MUUAJI WA MTIBWA SUGAR WA SIMBA AFICHUA ALICHOAMBIWA NA MBELGIJ KABLA YA KUINGIA MIRAJ Athuman, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa Kocha Mkuu wa Simba raia wa Ubelgij, Patrick Aussems alimpa maelekezo maalumu wakati anaingia
Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba Sc Patrick Aussems ameridhishwa na kiwango cha timu yake katika mchezo wa #VPL dhidi ya Mtibwa Sugar, ambapo Simba Sc wameondoka na ushindi wa goli mbili kwa moja
Full time: Simbasc 2-1 Mtibwa Sugar/ Kagere/Miraji
SIMBASC Vs MTIBWA SUGAR Kikosi cha simba kinachoanza dhidi ya MTIBWA sugar...
NYOTA WATANO 'OUT', SIMBA V MTIBWA SUGAR LEO LEO Uwanja wa Uhuru, timu ya Simba itawakaribisha Mtibwa Sugar ikiwa ni mchezo wa pili kwa kila timu kucheza msimu huu mpya wa 2019/20. ...