Content removal request!


NIMERIDHISHWA NA KIWANGO CHA SIMBA - PATRICK AUSSEMS

Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba Sc Patrick Aussems ameridhishwa na kiwango cha timu yake katika mchezo wa #VPL dhidi ya Mtibwa Sugar, ambapo Simba Sc wameondoka na ushindi wa goli mbili kwa moja