Tokazamani Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
kuwa wa kwanza TAZAMA simba walivyo shindwa kumla lipuli uwanja wa uhuru, magoli ya Mwinyi kazimoto na Asante kwasi yamefanya simba kushindwa kuongoza ligi kuu tanzania bara
Mganda, Emmanuel Arnold Okwi leo amefunga mabao mawili na kuseti mawili, Simba SC ikiibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya Njombe Mji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Simba inajitanua kileleni mwa Ligi Kuu ikifikisha pointi 15 baada ya kucheza mechi saba. -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "SAMATA AZIDI KUNG'ARA ATUPIA DHIDI YA CLUB BRUGGE" https://www.youtube.com/watch?v=p7buAw61NnI -~-~~-~~~-~~-~-
TAZAMA goli la simon msuva wakati timu ya taifa ya TANZANIA ikicheza dhidi ya timu ya taifa ya MALAWI MBWANA SAMATA,KICHUYA,AISHI MANULA,NIYONZIMA,emanuel okwi mechi za kirafiki. HIGHLIGHTS TANZANIA VS MALAWI INTERNATIONAL FRIEND MATCH. -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "SAMATA AZIDI KUNG'ARA ATUPIA DHIDI YA CLUB BRUGGE" https://www.youtube.com/watch?v=p7buAw61NnI -~-~~-~~~-~~-~-