Mganda, Emmanuel Arnold Okwi leo amefunga mabao mawili na kuseti mawili, Simba SC ikiibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya Njombe Mji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Simba inajitanua kileleni mwa Ligi Kuu ikifikisha pointi 15 baada ya kucheza mechi saba. -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "SAMATA AZIDI KUNG'ARA ATUPIA DHIDI YA CLUB BRUGGE" https://www.youtube.com/watch?v=p7buAw61NnI -~-~~-~~~-~~-~-